Kwahiyo kipoozeo ndio kgezo cha kukashifu washekh wote??
Nanyie vipi vule mpuuzi anaetembeaga na mabango ya kupinga uf!raj!?? What abt Zumaridi??? Vp kuhusu huyo wa kenya alieua wenzie na njaa??
Siku nyingine uwe unatumia akili kufikiri
Sijaona point ya msingi
Phd ni ada tu watu wanashindwa mudu
Hata hao jamaa bila ufadhili wasingetoboa
Alafu usichokijua unaweza ukawa na phd na ukawa mpuuzi tu, tunao wapuuzi kibao na mnawaita wasomi
TUKUMBUKE MWAKA 1992
Mwaka 1992, Serikali iliingia Mkataba na Makanisa kupitia Taasisi zao za TEC na CCT. Chini ya Makubaliano yale, hospitali za Makanisa zitatumika kwa wananchi wote pale ambapo Serikali haina hospitali.
Kwa kufanya hivyo, Serikali itakuwa na wajibu wa kuyapa Makanisa fedha...
Hawa jamaa wanaojiita maaskofu hadi leo sijawaelewa wameniachia maswali mengi sana bila majibu,
~Wanatuchukuliaje yani watz?
~Wanajikuta ni akina nani kwenye hii nchi?
~Kwamba wanatuweza sana au?
~Wanahisi ili taifa ni la kanisa au sote waumini wao?
~Au wanajiona ni spesho sana kama...
Wakimaliza matamko na waraka zote waambieni waache "unyanyasaji wa kingono & kupiga nyeto"
Bora waoe au waolewe kama muogozo wa vatican unavyosema ijulikane moja tu
Sasa kama una Phd lakini bado unakubali kuinamishwa uingiliwe na mwanaume mwenzio bado tutakutendea haki kukuita msomi??
Pole sana kuna Phd kibao wapuuzi tu ila sikulaumu sana mana sijajua elimu yako imeishia wapi😂😂
WARAKA WA MAASKOFU SIO ITHIBATI ZA MAONI YA WATANZANIA.
Na Thadei Ole Mushi
Niseme kwa kifupi sana kuhusu ujumbe wa baraza la Maaskofu kuhusu Bandari. Kwanza nisema wazi kuwa nawaheshimu sana vingozi wangu hawa wa Dini. Cha pili nisema tamko lao naliheshimu kwa kuwa wametumia haki yao ya...
TUKUMBUKE MWAKA 1992
Mwaka 1992, Serikali iliingia Mkataba na Makanisa kupitia Taasisi zao za TEC na CCT. Chini ya Makubaliano yale, hospitali za Makanisa zitatumika kwa wananchi wote pale ambapo Serikali haina hospitali.
Kwa kufanya hivyo, Serikali itakuwa na wajibu wa kuyapa Makanisa fedha...
Wapumbavu hao jamaa zenu
Kwahiyo walishindwa kujitutumua kama hivi kutoa tamko kuhusu tuhuma za USHOGA ambazo ziligusa KANISA kabisa(Ref Ripoti ya Mwakyembe)
Ila wameweza kujaza maelezo meeengi kuhusu mambo ya mikataba????
Jambo zuri ila uzarendo wao ungeaza ktk kuokoa Kizazi cha sasa na kijacho
Baada ya Tawi la kanisa (CHADEMA) kushindwa sasa wameamua kujitokeza wenyewe bila aibu kuonesha pingamizi zao ni huonekana sehemu ya mkataba kuwa ina maslai kwa Waislam(Japo wanazunguka waita Waarabu)
Ila ni kawaida yao licha ya MoU walizoingiaga na serikali sambamba na kupokea ruzuku
Shame...
1.Ugaidi
i)Hakunaga mafundisho ya ugaidi, nachojua mimi ni mazoezi kwaajili ya self defense kama karate judo taekwondo etc ambayo hayajaanzishwa na uislam pia ni michezo halali iliyosajiliwa na kuna vituo vingi tu vinafundisha nchini hadi duniani pia kunakuwaga hadi mashindano ya kimataifa.
ii)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.