Recent content by nduna lingasangasa

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tutafutane hapa jamani

    Jina: Tiwukalepa Mpakatimalaugimbi Umri: 12 au 13 Natafuta: ugomvi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    nina mdogo wangu amepata phys D chem B bio B+ ana ndoto za udaktari je anaweza kupata chuo kwa competition ya BRN
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kwenda jeshini na chuo kikuu kwa mtu aliyesoma science

    kwahyo mafnzo kwa mujib wa sheria hawaconsid unaanza upya
  4. N

    JamiiForums Tanzania JKT kwa mujibu wa sheria kujiunga na jeshi mojakwamoja

    yap kama n kwel nshakupata mkuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania JKT kwa mujibu wa sheria kujiunga na jeshi mojakwamoja

    habarini wanajamvi nimesikia tetesi kwamba wanaoenda jeshi kwa mujibu wa sheria baada ya mafunzo hupewa fursa ya ku apply moja kwa moja kwa wanaopenda.,naomba kujuzwa kwa anaefahamu natanguliza shukrani
  6. N

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical science na Medical Laboratory sc...

    me nilimwambie aweke ili nijue na co mimi niliyepost hzo data
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bachelor of medical laboratory vs b.pharmacy

    Vp Kuhusu Mshahara Serikalini
  8. N

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical science na Medical Laboratory sc...

    Weka Kama Unafahamu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bachelor of medical laboratory vs b.pharmacy

    ipi kati ya hzo inamaslah mazuri serikalini na rahisi kujiajili natanguliza shukran
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la usingizi marakwamara

    Habarini wanajamvi mimi ni mwanafunzi kidato cha sita mkoan pwani nasumbuliwa na usingizi mara kwa mara hasa baada ya kula muda wowote kwa anaeijua tiba..
Back
Top Bottom