Hii ndio diplomasia ya uchumi mnakaa pande husika mnajadiliana sio Rais wa jirani katika majukwaa ya raia tunaunganisha reli ya Voi na Tanzania 😆😆😆 acheni kukurupuka
Ruto alirukia gari,walipokosa bomba la mafuta,sasa aweke kiwanda cha kusafisha mafuta ili abalance hii ya kusema Tanga ilikuwa janja ya nyani Lililopo tutabanana hapa east Africa mpaka kieleweke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.