Recent content by ndorobo 2

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kuna madhara ya kufanya mapenzi kila siku?

    Ni mjamzito,yeye ndo analalamika nitapata madhara ila mi nipo fit
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kuna madhara ya kufanya mapenzi kila siku?

    Kumbe mnapenda basi HAPA KAZI TU
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kuna madhara ya kufanya mapenzi kila siku?

    Ha ha ha mkuu huoni akitoka moshi atawaka moto..
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kuna madhara ya kufanya mapenzi kila siku?

    Habari zenu wadau! ni madhara gani mwanaume anaweza kuyapata kwa kugegeda kila siku hamna siku inayorukwa..
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu open university wameshashotlist watu wa interview?

    daah mbona kimyakimya hivo mkuuu.. asante kwa taarifa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu open university wameshashotlist watu wa interview?

    kuna yeyote mwenye taarifa kama open university wameshotlist kwa ajili ya inteview? walitoa tangazo la kazi na dedline ilikuwa july sasa mpka leo naona kimya.:A S confused:
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kugegeda mara1 kwa wiki

    Kulipa mahari mkuu sio sababu ya kugegeda kila siku..unaweza kukuta unagegeda 24/7 hatachoka na ndo hapo mnaanza kulazimishana kugegedana ni starehe ila ukizidisha inakuwa karaha..
  8. N

    JamiiForums Tanzania Laana ya mapenzi

    Wadau naomba mnisaidie. Kuna ukweli wowote kuwa ukitoa bikra ya mwanamke unakuwa umeingia naye kwenye agano? Na pindi utakapomuacha akawa anakulalamikia kuna laana yeyoyete inayoweza kukupata?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuandika majina ya Mwanamke kwenye mali sio mapenzi, ni ubwege

    hakuna kitu kama hicho kwenye sheria za wosia kama mali zipo kwa jina lako zitabaki kuwa zako na kama mlichuma pamoja ndo mtagawana 50% na endapo mmoja ataangulia mbele za haki 100% zote zake(kwa kifupi zinaitwa matrimonial property) sa mi nijipinde huko kimyakimywa nitafute zangu afu uje upewe...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuandika majina ya Mwanamke kwenye mali sio mapenzi, ni ubwege

    ubwege, kutokujiamini,ulimbukeni na ujinga.. msamehee hajielewi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuandika majina ya Mwanamke kwenye mali sio mapenzi, ni ubwege

    ubwege, kutokujiamini,ulimbukeni na ujinga.. msamehee hajielewi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya mapenzi namuoana mbaya, nifanyaje nimalize tatizo hili?

    youngsharo; acha uzinzi tendo la ndoa??tangu lini mvulana akawa na ndoa kemea pepo la ngono hilo..
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mpenzi wangu wa zamani wangu kumuita mpenzi wangu wa sasa malaya?

    mawasiliano na maex ni ya nini
Back
Top Bottom