Recent content by ndonger

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani Tanzania zina msamaha wa kodi ukitaka kuagiza kutoka nje ya nchi?

    Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana. Naomba wakuu mnisaidie hili. Nawasilisha "Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na mchepuko kisa baby mama, baby mama naye kaniacha. Hali tete wakuu, hata msosi haupandi

    Wakuu napitia wakat mgumu sana,hapa nimejifungia ndani mawazo lukuki Mwez uliopita mchepuko niliodumu nao kwa karibu miez6 umeniacha sabab ya mimi kuendelea na mahusiano na baby mama wangu,naupenda sana mchepuko. Sio kesi nikarudisha majeshi kwa baby mama, Sasa baby mama sabab ya changamoto...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushaur muhimu unahitajika wakuu,

    Kuna jamaa,yuko kwenye mahusiano na binti mmoja wamezaa na mtoto wanaishi pa1. Mwanamke wake waliyezaa nae ana mtoto mwingne tayar alizaa kitambo huko kabla hajakutana na mwana ,hata baba hajulikani enewei Huyu dada ana mapungufu meng according to jamaa,controling,ukali,wivu na mambo meeng...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kukutana na soulmate wako wakati tayari una mtu na mshazaa mtoto. Je, ni sahihi kuendelea na anayekupa furaha?

    Mademu wenyew Ngozi nyeupe blaza .europe,mwana yuko mbele
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kukutana na soulmate wako wakati tayari una mtu na mshazaa mtoto. Je, ni sahihi kuendelea na anayekupa furaha?

    Hamkimbii mtoto,anasema anataka awe na mchepuko wa kudumu .kwa siri..na wamekubaliana kuficha hyo siri na huyu bibie mpya
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kukutana na soulmate wako wakati tayari una mtu na mshazaa mtoto. Je, ni sahihi kuendelea na anayekupa furaha?

    Wadau, Kuna jamaa yangu anaomba ushaur. Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana. Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mpenzi aliye "busy" siku zote

    Yan unashindwa jiongeza mdau...huyu anakula mzigo tu hakupend wala nn
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kweli baadhi ya wanawake hawaridhiki

    😁😁😁,ni kwel wanapenda sana
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kweli baadhi ya wanawake hawaridhiki

    😁😁
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kweli baadhi ya wanawake hawaridhiki

    Niko nchi tajir ulaya,..tabia za wanawake ni universal kaka..haijalish ni bongo ama ni wap
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kweli baadhi ya wanawake hawaridhiki

    Noma kaka
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kweli baadhi ya wanawake hawaridhiki

    Hahah..hawa watu kuwapata ni had waku trust kwelkwel..maana ubaguz na stereo types kuhusu watu weusi wanafundishwa kutokea utoton...tunaitwa black sheeps..yaan wenye laana..hahah..mkuu watu weupe wanachukia sana watu weusi...ni vile inatokea tu mnajuana sehem za kaz anakusoma anaona kumbe hawa...
Back
Top Bottom