Recent content by Ndolezi

  1. Ndolezi

    TAKUKURU kurekebisha makosa kwa kupunguza majina yaliyojirudia bado haijanishawishi kuja oral

    Jamaa wametuvunja moyo kwakweli hakukuwa na haja ya kutuita watu wote wale tena kwenda kufanyia kwenye mkoa mmoja ambapo wengine tulitoka mikoa ya pembeni sana mwishowe matokeo yanakuwa ya namna ile.
  2. Ndolezi

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Ndiyo hali ilivyo sasa watashughulikia kote?
  3. Ndolezi

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Hilo ndiyo muhimu kaka.
  4. Ndolezi

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Ena weya, mwendelezo zaidi ya hapo siujui aise.😀
  5. Ndolezi

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Oooh mwakata weya
  6. Ndolezi

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Ila kuna huyu jamaa muhamasishaji alifanikiwa kunipiga 16,000/= mchana kweupe nilishtuka alipodemand pesa zaidi nikashtuka aliniambia kuna shirika linaitwa CHACHAMA-Chama cha kupambana na Malaria Vijijini kuna nafasi za kazi na interview itafanyika Dar so inabidi nitume pesa kama laki tatu hivi...
  7. Ndolezi

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    😅😅😅😅 Siyo kwa namna hiyo mkuu. Ila hili ni ombi kama maombi mengine kama unayo namna ya kusaidia nitakushukuru zaidi.
  8. Ndolezi

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mjomba kuna sababu ya kusema hivyo na wewe najua unaijua ila umeamua kunisagia kunguni tu.😅
  9. Ndolezi

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Msaada kwa anayeweza kuniunganishia na vigezo vyote mpaka cheti cha JKT ninavyo.
  10. Ndolezi

    Kwenu wenye nafasi za kazi Serikalini au kwenye Mashirika Binafsi

    Kupitia ushauri wako umeniongezea thamani katika utafutaji wangu wa kazi na maisha ya kupambana mtaani nakushukuru sana sana kwa ushauri huu mkuu ubarikiwe sana ni maneno machache uliandika ila yenye thamani na uzito mkubwa sana.
Back
Top Bottom