Recent content by ndohotabu doho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naanza Likizo

    Asante sana!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naanza Likizo

    Nachukuwa nafasi hii kuwaaga, mie naanza likizo. Likizo sio lazima uajiriwe. Likizo ni mapumziko. Jitahidini nanyi muwe mnapumzika. Hata mumeo/mkeo uwe unampa likizo apate muda wa kutoka nje ya hapo kwenu aende kuosha macho kidogo Sakayo, Asprin, Mwifwa, Samaritan, mahondaw na wengine...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Naheene!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Sioni sababu ya kupigana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Haya maongezi yaishie pm... huku utanisababishia vita humu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Kaka yangu napenda uelewe kuwa sio lazima binanadamu wote waoe au kuolewa! Wala sitaki mwanamume wa kutimiza tamaa za mwili. Nahitaji rafiki tu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Babuuuu ninazidi kuvutwa kukufahamu zaidi ... maana si kwa kupiganiwa huku! kuna kitu....
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    :p:p:p:p:p
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Tatizo hapo ni nini? ni kuwa na maisha ya kujitegemea au kutafuta rafiki?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Unazijua mbinu za kudanga eee! lazima nawe ni mdangaji... usiwe na hofu na mimi.... nahitaji rafiki tu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Nimeweka wazi nia yangu ni kuwa na rafiki sio mpenzi. Hawafanani na mimi, tungefanana ningehitaji mpenzi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Si mchezo. Nimekifichaaaa wala sikitoi kwa mtu!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Maneno kuntuu kabisa. Naelewa 40 lazima (kama sio ni wachache sana) awe na mke na watoto. Kwa wengi inakuwa ngumu kuelewa kama urafiki wa namna hiyo upo. Nakuhakikishia upo na ndio maana nikasema lazima awe na mke mwelewa, ninajua sio wanawake wote wanaweza kuelewa hilo... lakini pia wapo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Namtaka Babu awe rafiki yangu. Ana sifa zote ujue
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Wote ni wezi, mara zote mwizi hana imani na yeyote!
Back
Top Bottom