Huyo Mr Kauga ni hatareee, huyo ni tapeli na jina analotumia ni la utapeli pia. Hata mm nishatumiwa xana txt kama hizo ila nishaga stuka kwamba ni mtandao wa matapeli, hivyo ndugu zangu tuwe makini tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.