Recent content by Ndoa-zenu-kunawatoto-wetu

  1. Ndoa-zenu-kunawatoto-wetu

    JamiiForums Tanzania KERO Liwale Lindi; Umeme unakatika kila siku, nina mwaka wa pili sijaona umeme ukiwaka siku nzima

    Huku kuna Rasilimali nyingi na njia nyingi za kupiga hela binafsi nimezaliwa Muhimbili nimekulia Magomeni nimesoma Sinza Mapambano msingi secondary nikasoma Kariakoo Kidongo chekundu Dar Sec ila nipo huku mwaka wa tatu sitoki ng'ooooo, huku kuna machimbo ya madini mashimo futi sita saba chini...
  2. Ndoa-zenu-kunawatoto-wetu

    JamiiForums Tanzania KERO Liwale Lindi; Umeme unakatika kila siku, nina mwaka wa pili sijaona umeme ukiwaka siku nzima

    Kusini ya Lindi na Mtwara aijawakumbatia CCM labda Ruvuma na Nyanda za juu Kusini, na hata hvyo ndani ya miaka hii kadhaa ebu tueleze we mwenzetu upo mkoa gani ambapo CCM awapo kwenye ngazi za uongozi kuanzia chini hadi Serikali kuu🤷‍♂️
  3. Ndoa-zenu-kunawatoto-wetu

    JamiiForums Tanzania KERO Liwale Lindi; Umeme unakatika kila siku, nina mwaka wa pili sijaona umeme ukiwaka siku nzima

    Hivi jamani ndugu zetu tatizo la umeme na sehemu nyingine mnazoishi ni hivi hivi kama huku tulipo sisi maana huku Wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi siku umeme ukiwaka kutwa nzima kuanzia asubuhi hadi usiku kila mtu anashangaa unahisi umeme una tatizo. Yaani tushazoea kila siku umeme kukatika...
  4. Ndoa-zenu-kunawatoto-wetu

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Dar es Salaam: Mchakato wa ufuatiliaji simu zilizoibiwa kupitia Vituo vya Polisi una ‘harufu ya michezo michafu’

    Hizo kesi za simu ukizipeleka vituoni mwenzangu na mimi pangu pakavu uambui lolote milolongo utakayopewa
Back
Top Bottom