Recent content by Ndoa ya upako2019

  1. N

    Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  2. N

    Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  3. N

    Natafuta mke wakuoa mwenye utayari wakuitwa mke

    Habari Jina - Brighton Umri - 39 Urefu - 5.5ft Dini - Mkristo Damu - group o Pombe- sinywi Rangi- maji ya kunde Kazi- Nimejiajiri Naishi- Nyanda za juu kusini Maono/ndoto - nikukua kimaisha Sofa za mwanamke naye mtaka. Umri- 35nakuendelea Kabila - lolote Dini - mkristu Kazi - yeyote...
  4. N

    Natafuta rafiki wa kike ambaye tutashirikiana katika Kuleta maendeleo

    Hi, natafuta rafiki wa kike umri kuanzia 24-37,sina ubaguzi wa elimu, dini, kabila,msomi hata ambaye simsomi yeyote anakaribishwa. Awe ni mtu anaye jituma katika kupambana na umasikini Aliye tyr tukutane pm kwa mawasiliano zaid i N:B nimatumaini yangu tutafika mbali na kuondokana na umasikini.
  5. N

    Jifunze kumechisha nguo

    Naombeni mnitumie hio video
  6. N

    Mume mwema anatoka kwa bwana

    Hellow, Naitwa Benjamini Kaswagula, naishi Bagamoyo, umri wangu ni miaka 34, mkristu, natafuta rafiki wakike ambaye baadaye tutaoana mwaka 2019/3/25. Lengo kubwa kua na muda mwingi wa kufahamiana, ambapo yapo mambo mbalimbali ya kufanya pamoja tukiwa ni marafiki wenye malengo ya kuoana...
Back
Top Bottom