Recent content by nditolo

  1. nditolo

    PICHA YA SIKU: Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Hodari Katika Kumlinda

    hamna kitu, Mungu akiamua kumbeba dk sifuri tuu, yule magufuli alikuwa na sura ya kula vijiti nini kilitokea
  2. nditolo

    Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA fuatilia Kampeni za CCM

    Wanataabika sana. Wanajua kuwa hawakibaliki kabisa🤣🤣🤣
  3. nditolo

    Ukombozi hupitia kwa watu jasiri tu

    Jiwe aliwahi mkamata hata mchekeshaji Idrisa ahahaha, yeye kila mtu alikuwa anamuona adui
  4. nditolo

    Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

    Yule mtu alikuwa mpuuzi sana. Na muda wa miaka mitano aliyokuwa amekalia kiti cha urais nchi yetu iliingia laana. Achana na kuboa jengo, kule chato alipeleka pesa akafuja pesa yaani kodi ikusnywe mbeya ikajenge chato manina yule bora amekufa na watoto wake watalipa tuuu maana tumeanza kuwasikia...
  5. nditolo

    Ukombozi hupitia kwa watu jasiri tu

    Habari zenu Watanzania! Leo mungu amenipa kibari ili niweze kuongea nanyi machache hasa yanayoendelea hapa nchini kwetu Kwanza kabisa nataka niwakumbushe hasa kuanzia 2015 hadi 2021 march. Hiki ni kipindi ambacho Taifa letu pendwa lilishuhudia mambo ya ajabu na ya kutisha. Ilikuwa miili ya watu...
  6. nditolo

    Mtazamo: Wasingeweza kumuachia Tundu Lissu bila Mama kuonekana kakutana na watu fulani waliomuomba amuchie Lissu

    Kinachonifurahisha ni kuwa waliokuwa wanataka akazikwe Singida haraka wamefukiwa kwa kifo cha kukosa hewa mele ya walinzi wenye bunduki wamewaacha waliotaka kuwatesa wakiwa huru. Mungu wa ajabu sana alifyeka kigenge chote
  7. nditolo

    GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

    Naona giza mbele. Waliomshauri ni kama wameamua kumtwisha mzigo asioweza alafu naona hana kibali kama mtangulizi wake. Hana rehema naona giza totoro inawezekana hatafka huko
  8. nditolo

    Huyu hapa Ofisa wa Magereza aliyemfokea Lissu Mahakamani na kuzua Mzozo

    Acha dharau Kuna captain magereza?
  9. nditolo

    Huyu hapa Ofisa wa Magereza aliyemfokea Lissu Mahakamani na kuzua Mzozo

    Zile nyota mshahara wake hata 1.5m hafiki🤣🤣🤣🤣 Jamaa wajinga sana na anaonekana Mzee karibu kustaafu pension 27m 🤣🤣🤣🤣
  10. nditolo

    GE2025 Wale wanaojinasibu kuwa "OktobaTunatiki" kuna ujumbe wao hapa

    Baba askofu sisi hatutapiga kura. CCM watapiga wenyewe na police wao
  11. nditolo

    Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

    Bora wageni waje watuondolee CCM. Wakate mizizi yote mpaka vitukuu vyaooo Hapo tutakuwa tayari kupambana na wageni. Sasa adui ni mmoja tu CCM
  12. nditolo

    Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

    Uongo kabisa. Rwanda na Uganda Wana urafiki ulioshiba sawa na America na Israel. Sasa Tanzania rafiki yako ni nani. Kenya wana democrasia na katiba nzuri hivyo na rahisi kujilinda. Kagame akija huku na Malawi watatokea kusini 🤣🤣🤣 Maccm na familia zao watakamuliwa maviii
  13. nditolo

    Askari wa JKT Tanzania akitafsiri lugha ya kireno kwenda kiswahili wakati wa ziara ya mkuu wa Jeshi la Msumbiji

    Kiuhalisia hakuna taasisi inayoenda na wakati🤣🤣🤣 Kireno nayo ni maarifa? Kisukuma je? Wachina hawajui hata kisomali lakini bidhaa zao zipo Kila Kona ya ulimwengu. Huko JKT ndio kabisaaa Jambo afandeeeee Kireno ni utaalam maana mizinga mingi imesndikwa kireno🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom