Dah bro huniamini? Anyway naomba kufaham lini ni siku ya mwisho kufanya registration kwa ngazi ya masters? Pale hostel wanuruhusu m'funzi kuchukua chumba na mkewe?
Wakuu habari zenu, natumai mnamalizia mapumziko ya wiki vyema.
Naomba msaada wa mwanafunzi yoyote aliepo Chuo cha Ushirika Moshi. Nategemea kuanza Masters hapo ila nipo Zanzibar na sina jamaa huko wala sikuwahi kufika.
Kwa mawasiliano atanisaidia sana. Ahsanteni
Mkuu hili tatizo kwangu ni zaidi ya shida, kwa vile unalifahamu utakua unanielewa. Mimi nishawahi kukoga maji ambayo yanaunguza badala ya hayo yenye uvugu vugu na sikuamini the way najimwagia maji ndio muwasho mkali ulinitokea hakika nilikaribia kulia siku hiyo. Yaani hapa nilipo nikiambiwa ini...
Pole sana, naona wataalamu wamekuwa kidogo ila tuvute subira watakuja kutupa muongozo. Ila kwa upande wangu nataka nikapime damu ili nijuwe tatizo linaweza kuwa ni kitu gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.