Recent content by ndimbiramid nchima

  1. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Kwani mbunge wa ccm alikamatwa lini akiwa bungeni?
  2. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anyimwa dhamana, kufikishwa mahakamani Kesho

    Viwanda cyo kipaumbele changu, naanza kukomaa na wapinzan kwanza [emoji13] [emoji109] [emoji13]
  3. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

    Kwani yeye ni mbunge wa mkoa? Nilifikir ungesema jimboni kwake badala ya mkoa... Maendeleo ya mkoa c aulizwe mkuu wa mkoa? Ni mtazamo wangu lakin
  4. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

    Waeleza hao lumumba buku 7 waelewe
  5. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

    Kama ni hvyo bac mimi namuita mh. Mbowe kuwa ni dikteta uchwara..... Sasa utaona ka Mbowe atamaind kuitwa dikteta uchwara coz yy cyo dikteta uchwara
  6. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nimeigawa MV Dsm kwa JWTZ, wale wanaoiandika andika, wajue wanaandika "mzinga wa JWTZ"

    Ni la mwalimu nyerere [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  7. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nimeigawa MV Dsm kwa JWTZ, wale wanaoiandika andika, wajue wanaandika "mzinga wa JWTZ"

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo ctaki kuchangia chochote napita huku nikicheka tu.
  8. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nimeigawa MV Dsm kwa JWTZ, wale wanaoiandika andika, wajue wanaandika "mzinga wa JWTZ"

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  9. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ aliyedaiwa kumuua konda wa daladala, afikishwa kortini na mwanaye

    Mwambie ww, maana mi ninahasira za karibu sn yacje yakanikuta ya mwanajesh na bint yake Vs kondakta
  10. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ aliyedaiwa kumuua konda wa daladala, afikishwa kortini na mwanaye

    Hapana bhana, brucelee ndo kafa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  11. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ aliyedaiwa kumuua konda wa daladala, afikishwa kortini na mwanaye

    Nakupa like lakin jifunze kuandika vzur
  12. ndimbiramid nchima

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Dk. Tulia Akson hakunaga. Uwezo wake wavuruga akili za wabunge wote wa UKAWA

    Yaan hata mim sielew sielew hapo, cjui katokea wap huyu mdada aisee.
Back
Top Bottom