Wala co ishu, ishu kuwapunguzia adha ya kupanga foleni kiboya boya wakati matokeo wameshapanga. Ila itasaidia kupunguza uhalali wa matokeo watakayoyapika
Tayari ninamiliki vitambulisho vya mpiga kura vya ukoo wangu wote, HAWATAPIGA KURA kwenye kiini macho cha uchaguzi Oktoba. NIMEWAPA ELIMU NA WAMEELIMIKA, bila nguvu kuuubwa wamenikabidhi shahada zao za kupigia KURA
Ikulu iache upuuzi. Rais ni taasisi na rais anatuwakilisha watz wote. Mbaya zaidi hata Imani yake hairuhusu hicho unachokiona kwenye picha.
Mume wake anajisikiaje kwa mapicha hayo 😭
Anaacha KUKEMEA UTEKAJI, ufiraji, mauaji ya raia wasokuwa na hatia wanaotumia haki yao ya kikatiba KUKOSOA mwenendo mbaya wa SIRIKALI, yeye anahangaika na MZALENDO wa kweli HP?
Pambafuuuuuu 😭
Bure???? Angalia wanavyolizwa wakulima wa mbaazi huko kusini. Kg 1 ya mbaazi tshs -1000, tofauti na ile ya msimu uliopita ya 2000+. Tunalipa kwa mtindo huo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.