chumba kidogo walau fut10.nane hapana...tafta fundi mlipe japo kidogo akupe hesab ya material.tuheshim kaz kama unavoheshim kaz ako.. tusipende vya bure ni ghal sana..mfano raman tu umekosea sana kuipangilia ..si rahis ivo that's why watu wanasomea
mashine kutwa lak na ishirini, operator30, usafiri wa kwenda site na kuirudisha.?.ongea na fundi upate punguza la wastani or utapata fundi atakaelipua kaz yako..ongeza usimamiz mzuri.bt fundi anakupa huduma kama mjasiriamali asichukuliwe kama mwiz..mbali ya ukubwa nyumba pia unyoofu wa kuta zako...
Chumba kimoja sakafu ya zege bei gani? Kina ukubwa gani? Kama ni nyumba ya vipimo ulivyotoa.. kwa idadi hiyo ya mafundi unahitaji kila fundi awe navibarua 2..na kama wahitaji kaz bora hutaipata kwa laki na thelathini. Tuwe wakweli..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.