Recent content by Ndeyanka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Jambo la kusikitisha katika malumbano ya mkataba wa bandari ni kuona wasomi na wanasiasa kutokujibu mada zenye utata na kujikita katika majadiliano yasiyo na utata. Hoja za kidini na siasa haziwasaidii Watanzania. Uzalendo ndio mtaji wetu. Tujikite katika hoja za msingi. Pande mbili...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Inashangaza kuona wasomi na wanasiasa wakongwe wanaotegemewa kutoa mwongozo na mwelekeo kwa wananchi wanazungumza tu hewani bila kutoa maelezo ya kina. Wale wanaopingana na waraka wa Katoliki watoe nguvu ya hoja na kuacha kuvuruga watu. Mtu mwenye hekima anapaswa kunukuu waraka na kukosoa...
Back
Top Bottom