MKURUGENZI BIMA YA AFYA AMUHONGA GARI JIPYA WAZIRI WA AFYA KUSAKA UTEUZI.
Ndugu wanajanvi niseme tu naileta taarifa hii kwenu mkiwa wadau wakubwa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya na Secta ya Afya kwa ujumla wake na usitawi wake. Ikumbukwe kuwa miaka 12 iliyopita NHIF ilikuwa na kiongozi...
Ndugu wanajanvi wa JF tumeamua kulileta kwenu hili ili kuokoa uhai wa mfuko na pesa za wanachama wachangiaji wa bima ya afya na wananchi kwa ujumla baada ya kuufuatilia muenendo wa kiutendaji na matumizi ya bodi hii na kubaili kuwa kwa ujumla wetu tusipoungana na kulikemea hili suala basi mfuko...
UOZO WA BODI YA WAKURUGENZI WA BIMA YA AFYA(NHIF)
Ndugu wanajanvi wa JF tumeamua kulileta kwenu hili ili kuokoa uhai wa mfuko na pesa za wanachama wachangiaji wa bima ya afya na wananchi kwa ujumla baada ya kuufuatilia muenendo wa kiutendaji na matumizi ya bodi hii na kubaili kuwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.