Recent content by Ndesalee

  1. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopatikana kwa mfumo wa kuangalia madeni ya makosa barabarani (TMS Check)

    Ahsante sana mkuu, nimeona kiasi nachodaiwa. Ila haipo more details kama ilivyo ktk TMS Check..
  2. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopatikana kwa mfumo wa kuangalia madeni ya makosa barabarani (TMS Check)

    Wao wanatumia zile mashine zao (POS) kuangalia deni, na pia zile camera zao wanazotega pembezoni mwa barabara. Mfumo haupatikani kwa njia ya web
  3. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopatikana kwa mfumo wa kuangalia madeni ya makosa barabarani (TMS Check)

    Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine ama lah. Hii hupelekea dereva kupata adha awapo barabarani ya kusimamishwa na trafic barabarani na...
  4. Ndesalee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Ni kweli usemayo, ila mie naona ni mtihani mgumu sana kudeal na mwanawake wa aina hii..
  5. Ndesalee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Vitu vidogo mfano mlipanga muwe na ratiba ya saa flan pamoja, ukichelewa kwake ni malalamiko, pia akitokea mmeongea jambo, ukiwa unamuliza tena anakasirika sana. Yaani hasira zake zinakuwa kuwa mpk unauliza ni jambo hili hili au **** lengine. Anajibu ni hilo hilo..
  6. Ndesalee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
  7. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania SoC02 R.I.P ip_mob, JF member aliyebadili maisha yangu

    Pole sana mkuu. Mimi pia kupitia JF nilipata msaada mkubwa sana wa fundi wa magari toka kwa member mshana jr. Sikuwa namjua kwa kuonana naye . JF ni msaada ukiitumia vzr.
  8. Ndesalee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimetongozwa na Binti mdogo tu

    Hako kabinti mkuu katakuwa katika research tu, kuona kama kuna wanaume nao maharage ya mbeya, maji mara moja..
  9. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

    Kuna jamaa ofisini chalii mdogo anatoka na boss mmama, ila wanavunga kama sio wapenzi.
  10. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya CRDB bank

    Hiyooooooo
  11. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya CRDB bank

    Naomba mniwie radhi, kulikuwa na shida katika setting za laptop yangu. Sasa mambo yapo mukide. Kazi iendelee.!!
  12. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya CRDB bank

    Wakuu hii tovuti sijui ishadukuliwa, mana huu ujumbe sio wa kawaida
  13. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay ni tafsiri sahihi ya msemo 'TUISHI". Maisha yake ni faraja kuliko uzuni

    Naomba namba ya kuchangia nichangie chochote kitu nilichokuwa nacho
  14. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kuacha Kudanganyana kuhusu Ujasiri wa Mwanadamu mbele ya Wanyama Wakali wa Mbuga za Wanyama/Msituni

    Elimu nzuri sana hii. Umetutoa matongotongo wenzio
Back
Top Bottom