Nape yuko wapi hapa? Aseme mwenyewe hawa wanaotafuna nchi ni wasafi zaidi ya wale madiwani anaodai wamekosa mvuto. We nape wewe, ungekuwa hauko katika hicho kiti ulichokalia am sure ungekuwa mkali kama pilipili kichaa. Unaona usalama wa kula yako u hatarini then unakumbatia magamba.
Kaka ZITO...
Nape aape kama kweli wale waliojitoa CCM (madiwani na wenyeviti vitongoji) wana kashfa kama ya Rada au Richmond!! Mbona Chenge na Lowasa hawatoki, au wao ni wasafi zaidi ya hao madiwani ambao anadai hawana mvuto? Na huyo aliyeuza bandari ya Mtwara naye kwa NAPE ni Mchungaji au Kuhani??
Nape...
Inawezekana wote ni vilaza kwa nyakati tofauti. Ila Bi Kiroboto naona amezidi ukilaza. She is talking beyond her capacity coz si yeye anayeendesha bunge bali watu walio nyuma yake...
Huyu ni kilaza zaid; as for now hatuna mwingine zaidi ya hao wawili, bora Ndugai kuliko Bi. K...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.