Recent content by ndekupita

  1. N

    JamiiForums Mchumba anasema atoe mimba

    Wasifanye siri waeleze kuwa ana mimba ili mambo yawe haraka, kuliko kuficha maana na kutoa mimba ni dhambi hawawezi jua labda mungu ndo kawapangia mtotot huyo huyo mmoja,
  2. N

    JamiiForums Hii ni kwa wanaume wote anayejijua abadilike

    JamanI hebu muda mwingine wanaume mjitahidi usafi muoge najua sio wote mpo hivyo. Unakuta jitu limezunguka kwenye jua huko full kutoka jasho, halafu akirudi nyumbani kwa wife usiku anataka mfanye. unadhani mwenzako atakuwa anafurahia miharufu yako mtu tu na jasho lake linamkera litakuwa la...
  3. N

    JamiiForums dawa ya kupunguza tumbo

    Urefu ni 160cm na uzito 56
  4. N

    JamiiForums dawa ya kupunguza tumbo

    naomba kusaidiwa nifanyeje tumbo langu lirudi kawaida nilijifungua kwa operation limekuwa kubwa kama bado nina mimba :mimba:
Back
Top Bottom