mapambano dhidi ya wadhalimu wa haki Tz ni magumu lakini tusivunjike moyo Mungu yupo upande wetu hakika tutashinda vita hii dhidi ya DHULUMA, POLENI WANA-ARUSHA MLIOPOTEZA WATU WENU NA WATANZANIA KWA UJUMLA, MUNGU IBRIKI TANZANIA NA WOTE WANAOITAKIA MEMA NCHI YETU.
bora kuzeeka mwili lakini sio fikra, mzee ndugai hajui anachokiongea, mbona bin-adamu anachunga mifugo kama ng'ombe au mbuzi na mambo yanaenda sawa lakini huyo bin-adamu sio mfugo lakini ana uwezo mkubwa wa kuongoza mifugo wake, hana hoja za msingi za kuongea na hajui kuwa hiki kipindi ni cha...
tatizo ni kuwa viongozi wa sasa wamevunja miiko ya uongozi iliyotolewa kipindi cha azimio la arusha,kilichopo ni ubinafsi umewajaa na ulafi wa madaraka ndo mana hawataki wananchi wawakosoe kwa kile wanachofanya, kiukweli tumerudi zama zile za ukoloni kwa kutawaliwa na viongozi wanyonyaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.