Recent content by Ndavyuse

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Habari za kutunga,imeandikwa kwa kufuata fikra tu,haiwezekani wakajadili suala kubwa kama hilo ugenini,Demokrasia hata Marekani wameshindwa tumeshuhudia wakikataza Maandamano ya wanafunzi baadhi ya vyuo wanaopinga Umwagikaji wa Damu Mashariki ya Kati.DEMOKRASIA NI PANA SANA NA INATEGEMEA...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye haya mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga

    Wapenzi na Mashabiki wa Team ya Yanga, ni kweli ya kuwa, tunapitia Wakati Mgumu na kwa kiasi Fulani, kimataifa angalau tumenza na Matokeo ya kutia Moyo,sio ya kuridhisha. Ili tutembee kifua mbele kwenye Mzunguko wa Pili Kimataifa kwa hizo mechi tatu zilizobakia tunatakiwa tumshauri Kocha wetu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliotamba na Awamu zao: Diria( Mwinyi), Magufuli ( Mkapa), Membe( Kikwete) na Dr Mpango( Shujaa Magufuli)

    Mkuu ungetupa na nyama kidogo walitambaje au walifanya makubwa gani,Kwa DIRIA huyu alitaka kusaini Mkataba wa kuingiza Tanzania kwenye Jumuiya ya OIC,ilileta mkankanyiko uliopelekea yeye kujiuzuru kama Waziri wa MAambo ya Nje,kwa Upande wangu Waziri aliyetrend enzi za Mwinyi alikuwa marehemu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

    RIP General Musuguri,umekuwa na Utendaji uliotukuka na Ulishiriki Vita kwa Vitendo na sio Elimu,Hakika we ni ICON ya Jeshi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto akata utepe kwenye shule aliyokarabati

    Pongezi sana kwa Binti aliyekarabati na pia naupongeza Uongozi wa Shule kuruhusu hilo,mara nyingi Wahisani wamekuwa hawatajwi wala kupewa mkasi kuzindua,nafasi hizo zimeporwa na Wanasiasa na Viomgozi wa Dini,inatakiwa iwepo la Jiwe na Msingi kwa ajili ya Wafadhiri wa Miradi na Majengo,Wasibaki...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto akata utepe kwenye shule aliyokarabati

  7. N

    JamiiForums Tanzania Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

    Hongera kwa Utafiti mzuri,kwa maoni yangu na kutokana na Uchunguzi mdogo niliofanya ni kuwa Jamii kubwa ya watua wenye asili ya Asia wana uraia pacha,wanatambulika na jamii zao mpaka hapo wanapoukana Uraia wa babu zao na kuukubali Utanzania,Mfano ni aliyeshindwa Kesi na Dr Warid Kabouru Jimbo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

    Swali la kujifikirisha je na yeye amekuambia ANAMILIKI MALI ZENYE THAMANI GANI,maana kuna kipindi hii jinsia inajiona ina HAKI ya kumiliki mali za Mweziye tu,akifa ni mali za familia yake,AKILI MU KICHWA
  9. N

    JamiiForums Tanzania Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

    Mkuu ukitaka kujua Tanzania tuko vizuri kuliko wao angalia Suala la DP World lilivyojadiliwa Tanzania na Suala la Umilikishwaji wa Kenyata Airport ndo utajua akina nani nani angalau wana uafadhali
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ngozi nyeusi ni laana?

    Pole Mwekezaji Mzawa Usikate tamaa,inwezekana katika ajira zako ulizotoa ulisahau Makundi Makuu Matatu.Kwa mtu anayetaka kufanya uwekezaji mkubwa asisahau kaujiri au kuweka Wafuatao 1.Extenal Auditors;Siku hizi kuna kampuni binafsi ambazo hutoa huduma za ukaguzi wa Hesabu na Raslimali...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

    We endelea kununua vitu ambavyo receipt inayotolewa inatoa amount tu bila jina siku ukiambiwa hiyo Tv ni ya wizi ndo utajua? Maana ukiambiwa lete ushahidi unaleta Receipt bubu ina jina la bidhaa na amount tu haina jina la mnunuzi hapo ndo utaona umuhimu wake,we endelea kulala
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

    Mkuu hapo mkuu wa nchi ameongelea kundi linalolipa moja kwa moja bila kupitia kwa tax withholder,makundi hayo ni kama wafanyakazi kupitia mishahara(paye tax) na wafanyabiashara wakubwa (corporate tax) na wenye uelewa wachache ambao wanapolipa kodi au kununua bidhaa hutaja tin number zao ambazo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutumie migomo ya Kenya kuwavuta watalii wote waje kwenye nchi yetu yenye utulivu

    Tanzania na Watanzania tutumie Mechi za Kimataifa kama za Yanga mechi CAF Championship na Simba CAF Confederation kujitangaza kwa kuwa Mechi hizo hurushwa na TV Mbalimbali za Kimataifa kama Super Sport,tuweke Propaganda za Kiuchumi tuutumie mwanya huo kwa Mechi za Mwishoni mwa Wiki hii Mpira wa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku ashangazwa na IGP Wambura kutojiuzulu

    Mzee Butiku,anafurahisha sana,anaanza kuwaambia wengine wajiuzulu,yey more than 70 lakini bado tu yuko Taasisi ya Mwalimu Nyerere mpaka imepungua umaarufu
Back
Top Bottom