Recent content by ndandambuli

  1. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    🙏🙏🙏🙏🙏
  2. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anayeamua kuwa na single mother anajitengenezea sintofahamu siku za baadae

    Kwahiyo ukimwongezea mtoto unakuwa umejiongeza kwenye orodha ya Wanaume ambao yeye anakuwa na hisia nao?
  3. ndandambuli

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa Dar na kukulia Dar, mara ya kwanza kwenda kijijini ilikuaje?

    Kiswahili cha mtu aliyezaliwa na kukulia Dar hiki???
  4. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    🤣🤣🤣 Hata kama ulipoanza naye alikuwa amedinywa na Wanaume kadhaa?
  5. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    Kwanini?
  6. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    Hata simu hapokei
  7. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    Kurudiana, kaniambia haiwezekani
  8. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anayeamua kuwa na single mother anajitengenezea sintofahamu siku za baadae

    Na kama kazaa na Wanaume wawili au watatu tofauti,hisia zao zinakuwa kwa hao wote?
  9. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwani Mungu anajibu maombi mabaya?

    Ni kweli,ila kuna watu hawawezi kukuheshimu mpaka wakumbuke wema wako,na hawawezi kukumbuka mpaka warudi kwenye mazingira yaleee ambayo uliwafanyia wema, kuna watu wanakera
  10. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwani Mungu anajibu maombi mabaya?

    Nina wiki ya pili sasa naomba Mungu anilipie kisasi kwa mtu mmoja hivi asiyekuwa na shukrani,Alikuwa na hali mbaya sana kiuchumi nikamsaidia kidogo nilichokuwa nacho pamoja na ushauri,Sasa hivi kafanikiwa dharau nyingi ananiona sina hata hadhi ya kupiga naye stori,Wale ambao hawakuweza kumsaidia...
  11. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeachana lkn kila ninachokiweka kwenye status yangu whatsapp lazima anihoji.

    Kama hukumwacha kwasababu ya usaliti rudianeni,Kuhusu status muulize mwenyewe
  12. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nikisema nihadithie mikasa iliyonipata kwenye mapenzi members wote wa jf mtabubujikwa na machozi

    Nisingekuwa bwege ningefanyaje?
  13. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nikisema nihadithie mikasa iliyonipata kwenye mapenzi members wote wa jf mtabubujikwa na machozi

    Upo safarini miezi kadhaa ,unaambiwa na mtu wako wa karibu Mwanamke wako anakusaliti, " Unaanza kufanya uchunguzi kimya kimya unagundua kweli kuna kila dalili za usaliti ,hakuna mawasiliano ya mara kwa mara kama zamani, hajibu text kwa wakati kama zamani. Unaamua kumuweka wazi juu ya yale...
  14. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    Hata kumfanya sex Toy moyo umegoma kabisa, alikuwa tayari niwe na Shea na mtu wake wa Sasa
  15. ndandambuli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    Kanigomea Mkuu
Back
Top Bottom