Hakuna aliyeuhukumu kaka....
Tusijitaabishe kupoteza muda, tunamambo mengi ya kufanya zaidi ya hayo!
Magufuli ni raisi wetu, tumwombee Mungu azidikuwa pamoja naye!
Mungu ashindwi na lolote, halafu tumuamini Raisi....
Wadau wenzangu, tusiwe watu wa kulalamika kwa kila jambo, wakati wa kampeni umekwisha!
Hebu tumuamini Raisi wetu!
Viongozi wa wananchi si malaika wasikosee....
Tuangalie nia ya dhati iliyondani ya viongozi....
Tujikite kwenye maswala ya maendeleo...
Wachungaji wajikite katika kutusaidia...
Binafsi nadhani tumeenda kidogo nje ya mada....
Nadhan mtoa mada alikuwa na swali lenye maslahi makubwa kwa chuo kikuu cha Udsm... Kwani no hatari sana kuondoa wasomi wengi kwa mkupuo!....
Natambua sana mchango was chuo kikuu cha Dar es Salaam, lakini so lecturers wote wanaofundisha pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.