Kuna mawakili hapo mwanzo walikuwa wanazuiwa kutokumuon Lissu mahabusu kwasababu zao wenyewe ccm. Sasa kutokana na kwamba mawakili wake hawakuruhusiwa ndio aliamua kujitetea mwenyewe kutoka toka mwanzo ndio maana akasema yote yasingetokea hayo kama hawo mawakili wake wangekuwa wanaruhusiwa...
Lakini kwa hoja hamtakuwa na uwezo wa kumshinda. Na ndio Maana toka kipindi cha mkapa mnamkata na kumshitaki hakuna siku mliomkuta na kosa, Magufuli alimpiga risasi 38, 16 zikaingia mwilini aliwashinda licha ya ndugai akishirikiana na Magufuli kutompatia stahiki zake za matibabu dhihaka zao leo...
K
Kwani Halima ni chama gani vile? Wanaohangaika ni CHAUMA kuliko chadema kwa CHAUMA. Lengo la CHAUMA ni kukidhoofisha chadema kwa kufadhiliwa na ccm.
Asilimia kubwa ya waliohamia chauma kutoka Chadema walijifukuzisha wenyewe baada ya uchaguzi wa viongozi wa chama ndio hadi leo chuki...
Kwani hujui kuwa hayo ya kuwa na kesi ni majibu ya Samia na ccm yake. Lengo la ccm toka enzi zake ni kumuua Lissu ila kila anaepanga anaenda yeye na Samia ajipnge akimtia hatiani, Samia RIP.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.