Mkuu hapo ukiwa tayari tutainisha kimoja baada ya kingine.
Kazi ya mamilion hufanywa na watu si jina la kampuni.
Kampuni ni watu mkuu .
Nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu Ndoto Yako itimie uje tujenge kituo chako.
Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu?
Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽
Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid.
Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako
Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
Habari zenu Wana JF?
Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla.
Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu.
Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta.
Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
Mkuu upande wangu Sina Kwa sasa natoa huduma ya ujenzi Kwa watu wenye mitajikwa
Gharama zinazohitajika ni Fedha ya ujenzi wa Kituo namanisha gharama za vifaa vya ujenzi kulipa mafundi kama utahitaji mradi wako uuendeshe mwenyewe na wataalam wako katka ujenzi.
Nyingine ni ununuzi wa pump za...
Ndugu mwana JF,
Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana.
Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana.
Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.