Recent content by Ndaiharuna

  1. Ndaiharuna

    Natafuta sehemu nzuri ya kusoma English Course

    Ada yake shi ngap na Course inakuwa kwa muda gan???
  2. Ndaiharuna

    Natafuta sehemu nzuri ya kusoma English Course

    Nataka nijifunze kingereza kilicho safi na kinachonyooka lakini mimi bado beginner. Nataka nijue sehemu gani itakua nzuri kwangu na nitaweza kuzungumza hata nikienda nje ya nchi. Nawasilisha.
Back
Top Bottom