Wadau!
Kuna baadhi ya watu hasa CCM, wanajifanya hawajui kuwa wamefanya mengi maovu, hawajui watu wamechoka, hawajui kuwa Tanzania hakuna amani bali uoga, kidogo niwambie kuwa, wapo vijana wa kitanganyika na Zanzibar ambao wamepanguka, wameshakata tamaa na wako tayar kujiunga na harakati za...