Hii swali imekaa nzuri. Yeye anashinda mitandaoni, halafu anauliza wenzake wanafanya kazi gani. Kama sio kuchanganyikiwa itakuwa nini?
Halafu pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Tusipojifunza kutii sheria na taratibu tutangeneza Taifa la hovyo sana. Kama kuna kitu kinanikera na najiuliza imekuwaje, ni hii tabia ya magari ya umma kupita barabarani bila kujari sheria na taratibu.
Taa nyekundu zinawaka halafu wao wanajiona kama haziwahusu, hata kama watasababisha ajari...
Ila pia kuna watu wana akili zao hawataki wajinga watuletee tabu halafu nchi iharibike. Wanasema ukweli. Ingawa ukweli mpaka ueleweke inachukua muda mara nyingine.
Naamini tunaanza kujivua gamba. Tutaanza kuchagua viongozi kwa kuangalia uwezo wao na sio sura zao. Sura zimetudanganya...
Mwalimu Nyerere, hakuwa wa kawaida. Anachokisema hapo si kitu kidogo. Anasema ukweli kuhusu unafiki wetu. Christians have made a mess in this world, or rather people who worship other gods and claim to be the christians.
Ingawa, Nicaragua pia, liberation theology imefeli. Ujinga wa ukomunisti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.