Uamuzi wa kutuma majeshi ya ulinzi na usalama kuwa yafanye nini na wapi amepewa rais wa jamuhuri katika katiba sura ya 9 ibara ya 47 katika ibara yake ndogo nadhani ni 3 ama soma ibara hizo kwa uhakika.
RED BRIGADES lilikuwa kundi la ki gaidi huko italia, lilianzishwa 1970 na liliteketezwa 1984. Kundi hilo lilikuwa na kauli mbio "nchi haitatawalika" lilifanya mauaji kwa raia na kupora mabenki, pia lilimteka waziri mkuu wa wakati huo na kumuua kinyama yeye na wafuasi wake wanne. Nchi Tanzania...
RED BRIGADES lilikuwa kundi la ki gaidi huko italia, lilianzishwa 1970 na liliteketezwa 1984. Kundi hilo lilikuwa na kauli mbio "nchi haitatawalika" lilifanya mauaji kwa raia na kupora mabenki, pia lilimteka waziri mkuu wa wakati huo na kumuua kinyama yeye na wafuasi wake wanne. Nchini Tanzania...
RED BRIGADES lilikuwa kundi la ki gaidi huko italia, lilianzishwa 1970 na liliteketezwa 1984. Kundi hilo lilikuwa na kauli mbio "nchi haitatawalika" lilifanya mauaji kwa raia na kupora mabenki, pia lilimteka waziri mkuu wa wakati huo na kumuua kinyama yeye na wafuasi wake wanne. Nchi Tanzania...
Tunaweza pia kujifunza kutoka Misri. Je walichokitaka ndicho walicho pata?
Ipi ni Misri bora kati ya ile ya uongozi wa Hostin Mubarak na Misri ya sasa?
Mimi nadhani tungeshika jembe tukalime ili tudhihirishe ukakamavu wetu kuliko kuwaza kuunga mkono matendo na mawazo ya watu ambao mwisho wake sio mzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.