MAFANIKIO YALIOPATIKANA KATIKA SEKTA YA ELIMU KWENYE SERIKALI YA AWAMU YA SITA CHINI YA UONGOZI WA RAIS MHE DKT SAMIA SULUHU HASSAN - (DODOMA)
1️⃣ Miundombinu:
Shule mpya za msingi 302, sekondari 2,254, vyumba vya madarasa 4,043, maabara 132, makazi ya walimu 253, vyoo 20,901, na dormitories...