Recent content by ncheyeki

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ni shida ya m-pesa au wao?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani wanaotumia m - bet kuna shida gani? Mbona inakataa kudeposit wala kulipia??
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani naombeni namba ya customer car meridian bet ,nimedeposit hela muda mrefu haionekani
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, myajibu maswali haya kwa utulivu, werevu, weledi na ustadi mkubwa. You are heading to your painful end!

    Wewe ni mwanasiasa? Kama sio hudhani hata hao walioko chadema wanaweza kuendesha maisha yao nje ya siasa? Think big
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, myajibu maswali haya kwa utulivu, werevu, weledi na ustadi mkubwa. You are heading to your painful end!

    Duuh kweli maswali mazuri lakini na mimi nakuongezea moja lako, if they will head to the painful end as you said, who will be a victim?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka tusaidie za kulalia Post sent using JamiiForums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi historia inavyopinga Mbowe kuwa mtetezi wa wanyonge

    Wewe maskini chukua hilo jukumu la ukombozi Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sorry bro, pale kwenye promo code unajaza nn? Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo ilikuwa kabla ya mechi, mechi ikiisha huwa wanaweka kitiki au kikosa kwa juu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inaitwaje hii mkuu?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni huko Kenya ndio watakuwa affected, Serikali imewaongezea kodi mpaka asilimia 35
  12. N

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI TFF: Rais bora kabisa Jamal Malinzi kuendelea na wadhifa wake

    Wambura hapana, makamu atakuwa Mulamu Eric Ng'hambi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Leo huenda ikawa siyo siku nzuri kwa Rais wa TFF Malinzi kwani Mapacha hawa kuchukua Fomu rasmi

    Kwa wasiojua mpira unaongozwa na Malinzi as the individual or unaongozwa na kamati ya utendaji as a team ndio watamlaumu Malinzi. Kama walichaguliwa kamati ya utendaji wasiokuwa na meno hayo ndio madhara yake.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    0767370880
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuh mkuu uliweka hiyo? Maana itakuwa imeenda
Back
Top Bottom