Kuna haja ya kujadili kipindi akiwa kwenye nafasi au tujadili hoja na hawa wakulima wanapate haki yao bila kunyonywa?
Je watanzania tutajikomboa kutoka kwa mafisadi kwa akili hizi tunazotumia kweli?
tutabaki kujadili yaliyopita badala ya nini tuamue kwa sasa na muda haurudi nyuma.
Tutaumia...
Alikula mkataba na wahindi wa 70 bilion za ufanisi wa tanesco, nadhani hiyo laki nane ndo matokeo ya ufanisi wa hiyo mikataba.
Tulidhani ufanisi utapunguza bei kumbe ndo unapandisha bei.
Kumtoa mkurugenzi pekee bila kuwatoa wale wanaofanya hivyo ni kujidanganya labda kama anamtoa kafara.
Hata atakae kuja atapata shida badala ya kutafuta mipango mipya yeye atabaki kuwa malinzi iki asiibiwe au asihujumiwe na hao waliobaki
Kwa hiyo haya machinjio mliyojenga yatafanya kazi gani?
Nilidhani mnauza mali zilizichakatwa kumbe sasa hata viwanda havitakiwi,
Malighafi ziwe zinaenda bila kuongezwa thamani?
Kazi ipo bado.
Sasa kama ni lafiki wa afrika si atuletee mafuta ya bei nafuu mambo ya mbolea yatajipa unafuu yenyewe,
Kama alitaka kuyauza india kwa pipa dola 30-35 si atuuzie sisi hiyo bei aone kama hatuendi kumsaidia vita hukohata kupigana tu?
Kwa hiyo hata usomi wao hauwasaidii kujitafitia ajira wanazidiwa na wale ambao hawakusoma na wanapambana na maisha bila elimu na wana ng'aa?
Hawana elimu na hawasubili ajira za serikali.
Lakini wenye elimu wanapauka kwa kukosa maalifa ya kujitafutia ingawa wame elimishwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.