Recent content by Navigator Paul

  1. Navigator Paul

    Nakumbuka Sana vitu vya nyuma

    Wakuu Habari Mimi Bhnaaa Ni Kijana Nipo Tu Kwenye Harakati Za Maisha Sasa Hivi Karibuni Nakuwa Nawaza Sana Maisha Yangu Ya Nyuma, Yaaani Udogoni, Sometimes Hata Nilivyokuwa Napitua Baadhi Ya Changamoto Zangu Za Maisha, Yaaani Kila Siku Lazima Niwaze Mambo Yangu Ya Nyuma Hii Kitu Imenipelekea...
  2. Navigator Paul

    Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

    Lakini Ndiyo Ukweli Uliopo
  3. Navigator Paul

    Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

    Tupo Kwenye Hatua Za Utafutaji Tu Kwahiyo Tupo Na Hata Kodi Tunachangia Pia
  4. Navigator Paul

    Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

    Yaaaani Changamoto Sana Mkuu
  5. Navigator Paul

    Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

    Mawazo Tu Msee Hii Hali Sio Nzuri Kabisa Ukizingatia Hamna Feni Jamaa Anatumia Dakika 40 Kula Chakula
  6. Navigator Paul

    Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

    Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa...
Back
Top Bottom