Recent content by Nautical Miles

  1. Nautical Miles

    Je, unahitaji kumiliki simu ya ndoto yako kwa bei nafuu? Usiache kupitia huu uzi

    Mna huduma ya kufuta green lines au sometimes pink, ambazo hutokea kwenye screen za Samsung? Maana hizi S- Series zina hii changamoto ya kuleta mistari ya kijani kwenye kioo.
  2. Nautical Miles

    Msaada wa sehemu ya kujitolea Nursery school au Daycare niweze kupata recommendation letter yaku apply Viza Ujerumani

    Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu. Mkuu kwa level ya kwenda kusoma undergraduate wanahitaji uwe umesoma lugha ya kijerumani kwa level inayoitwa B2 pia requirements na vigezo vyake ni vingi sana ambavyo binafsi sitaviweza. Maana wanahitaji pia uwe na blocked account yenye fedha za kutosha...
  3. Nautical Miles

    Msaada wa sehemu ya kujitolea Nursery school au Daycare niweze kupata recommendation letter yaku apply Viza Ujerumani

    Asante sana mkuu kwa ushauri wako. Nimejaribu kupita pita kwenye hizi Nursery na daycare za mtaani kuwashirikisha ombi langu wengi naona sio waelewa na hawana utayari wa kunisaidia. Lakini sitakata tamaa mkuu nitaendelea kujaribu jaribu kuomba.
  4. Nautical Miles

    Msaada wa sehemu ya kujitolea Nursery school au Daycare niweze kupata recommendation letter yaku apply Viza Ujerumani

    Wakuu salaam, Awali ya yote nawashukuru wana Jamii forums wote kwa michango yenu na mawazo yenu yakinifu yanayo toa elimu, ushauri na msaada mkubwa sana kwa jamii. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa Dar es salaam. Elimu yangu ni kidato cha sita (High school). Baada ya...
Back
Top Bottom