Habari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.