Recent content by nature revo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kemeeni watoto wa kike waliokwenda JKT kudhalilishwa

    umemaliza,wazazi wote wangekuwa kama wewe hii nchi ingenyooka.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kesho ni zamu ya Profesa Mwesiga Baregu

    safi,majibu mazuri kwa huyo kilaza
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lissu awalipua mawaziri, wabunge kwa unafiki wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii

    wewe hata wakiweka hayo majina utakanusha kana kwamba waga wakipiga dili wanakugawia.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni upi msimamo wa taasisi za kiislamu kwa vitendo vya boko haram?

    umesha jijibu mwenye ulipotaja Boko haramu kuwa ni kikundi cha kiislam.unadhani mtu anaweza kutoa kauli wakati huohuo akaipinga?
  5. N

    JamiiForums Tanzania A.C.T kupata usajili wa kudumu Jumatatu, Mei 5, 2014

    hahahaa..naona mnaliwazana lakini mkae mkijua kuwa ukawa imewakalia shingoni hamfurukuti.chezea mbowe ww!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    sasa mbona watu ni kiduchu,au ndo maandalizi mkutano bado?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mh. Jaji Warioba kuunguruma leo ITV

    warioba ni mtu pekee aliyebaki ccm anayeweza kusema ukweli bila kufuata mkumbo waliyojiwekea chama tawala wa kupinga ukweli unaoonekana wazi,heko Warioba.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    acha u mbulula we kinyago
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    umenena mkuu kila mtu akae kwake hizi ni nchi mbili tofauti.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jee tuwaite vipi hawa? Wanafiki au Waganga njaa kwa mgongo wa Zanzibar?

    tulia nyie wazenji hamjitambui.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imerudi

    ndiyoo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tukio la DR Hamis Kiwangala alivyo tiwa mbaroni huko NZEGA

    he! kumbe police waga wanawakamata na wenzao ccm?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yaani chadema bora waondoke tu kalenga.

    wananchi wa kalenga ni mabogasi!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA jimbo la Kalenga

    tulia mtoto wa kike,jifuze uelewe mambo acha kufata mkumbo utaumbuka!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA jimbo la Kalenga

    fanya faster,weka picha hapa hakunaga saund za kizushi.
Back
Top Bottom