Recent content by Natta Sibhora

  1. N

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Mzee, umemaliza? dhahabu tugawane, mashimo, cynide je? Naona unajitahidi kutisha watu. Unashindwa kutambua kwamba hii ni karne ya 21. Unaogopa serikali za majimbo kwa kuongelea udini na ukabila, hujui sio hoja kwani unaweza ukawa huna hayo majimbo lakini udini ukawepo? Chunguza kote duniani kama...
  2. N

    Kamanda Mawazo atoa wito kwa WanaCHADEMA wote

    Nami naunga mkono. Aweke MPESA yake hapa. Tumwezeshe. kidogo kidogo hujaza ndoo.
  3. N

    Nitagombea ubunge jimbo la Serengeti 2015

    Kamanda, Hongera kwa kutangaza nia. Tupo wengi makamanda, njiani kutangaza nia. Kikubwa tupate mtu safi mwenye records and aliye na nia thabiti ya kuwaletea watu wa serengeti tumaini jipya na maendeleo endelevu. Magamba wanatuchelewesha. Mokoro Rugatiri
Back
Top Bottom