siyo kawaidayangu kuchangia mada ila hii imenigusa huwa najiunga navifulushi vya mweze au chawiki lakini huwa kuna salio lavocha huwa nabakisha kwaajili ya kutumia sim bank lakini hata uache elf 5 baada yasiku chahe utakuta washa kwapua hizo vocha jalibu kuacha huo udokozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.