Recent content by Natafuta Ajira

  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwanini homework za Wanafunzi zinafanywa na Wazazi? Punguzeni ujuaji

    Nyie walimu ndio mnatakiwa kuachana na huo utaratibu wa kutoa homework. Tenga hata dakika 10 za kutoa maswali ya ulichofundisha kwa siku hiyo. Tunalipa ada ili mambo ya shule mmalizane na watoto uko uko shule. Mtoto akifika nyumbani anatakiwa kupata muda wa kupumzika, kucheza na wenzake pamoja...
  2. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 25 baada ya tukio la kuhuzunisha la September 11 mwaka 2001

    Apumzike kwa amani Osama. Dunia imekua bored sana. Hakuna wa kumpa USA amsha amsha
  3. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

    Chonde chonde vijana wenzangu wenye mpango wa kuoa. Oeni wanawake mliowakuta wakiwa bikira. Nawasisitiza tena oeni bikira.
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mwamposa kunyanganywa madhabahu ya Kawe kufuatia malalamiko ya wananchi

    Hao wanaotoka mikoani walikubaliana na mwamposa kwamba wakifika dar atawapa chakula na makazi?
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Dar: Conrad Agonza Kayoza aliyeshambuliwa na Trafiki, kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Jazba ni kitu cha papo kwa hapo. Dokta hakutoka tu nyumbani kwake akiwa na lengo la kutembeza kichapo kwa trafiki atakaekutana nae barabarani. Alichokifanya dokta ni kama tu hayo maandamano unayosema unayaunga mkono. Kila mtu ana kikomo cha uvumilivu. Kila mtu ana insanity spot yake...
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    Tatizo sio usawa, tatizo ni kuchagua chagua vipengere vya huo usawa. Kwa ninavyoelewa mimi, wanawake hawataki usawa wa kijisnia(gender equality) isipokua wanataka nguvu ya kuchagua ni wapi na kwa namna gani wawe sawa na mwanaume(selective equality) . Kama mnataka usawa kwa ujumla wake haitaleta...
  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Dar: Conrad Agonza Kayoza aliyeshambuliwa na Trafiki, kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Atafungua dispensary yake, sio lazima aajiriwe. Kila mtu anajua athari za kujitoa muhanga lakini haya mamno ili yaishe lazima wachache wakubali hizo shuruba. Bila shaka hata huyu trafiki hawezi tena kurudia tabia yake ya kufokea watu wazima kama watoto na kuchomoa funguo ya gari. Polisi nao...
  8. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    Wanawake wa kisasa wengi wanachokiita standards ni mipaka tu ambayo wanaiweka ili wasisogelewe na wanaume wasiokua na hela. Kwa lugha ya kisasa tunasema wanakuza brand. Lakini kwa mwanaume mwenye hela hizo standards zao ni useless tu. Mwanaume awe irresponsible, womenizer, cheater, drug dealer...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    Then, mtatakiwa kukubaliana na kanuni ya asili kwamba kuna uhuru mtaukosa.
  10. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    Prida hajahalalisha usaliti. Usaliti sio mzuri ukifanywa na yoyote lakini ukweli ni kwamba athari zake ni tofauti unapofanywa na mume na unapofanywa na mke. Chanzo cha utofauti huo ni uwekezaji ambao mwanaume anabebeshwa kuanzia mwanzo wa mahusiano. Mifano ipo wazi sijui ni umeamua tu kuwa...
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ameonekana kwenye Hitma ya Hafidh Ameir

    Kwa umri wake mbona bado chuma hicho. Yupo late 50's ujue
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ameonekana kwenye Hitma ya Hafidh Ameir

    Vijana mishangazi itawaua
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ila nyie, tumetoka mbali...😂🙌

    Nani sasa, Eunice au Nape?
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Hicho kibuyu kipasuke tu huko mzena.

    Huyo msoga tutakufa wote yeye tutamuacha.
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    😀😀😀 Raia wamechafukwa
Back
Top Bottom