Recent content by nassorosaid7

  1. nassorosaid7

    JamiiForums Tanzania Seap program/ paid internship/job opportunity

    Habar mkuu......samahan kw Usufu Nilikuwa naomb msaada wako japo unishauri kdogo.... Kwa kifupi Mimi naishi mkoa wa Arusha.nimehitimu diploma ya Civil engineering na nimetafuta pahala pakufanya internship lakini Hadi sasa sijafanikiwa , Hata hivyo nimezunguka kwenye kampuni ili kuomba nafasi...
  2. nassorosaid7

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kujaza kwenye TAESA kwenye ku-submit cv pananisumbua

    Mimi mwenyewe inafanya Kama hivo na sijapata solution Hadi sasa.....wajumbe ambao tayari nmefanikiwa tafadhali tupeni maelekezo Hadi kufikia hapo
  3. nassorosaid7

    JamiiForums Tanzania Msaada baada ya kushindwa usaili wa TAESA

    Jamani naomba msaada niki mark hpo kwnye hiko kibox ndo tayar nimesubmit au Kuna procedure nyingine...maana nili mark toka wiki iliyopita alaf ckupata majibu Hadi Leo.
  4. nassorosaid7

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika fani ya Uhasibu na Usimamizi wa fedha (Accounting and Finance). Nipo tayari kurelocate sehemu yoyote

    Tupe experience kidogo....huko TAISA ulikuwa unalipwa kwa scale ipi?
  5. nassorosaid7

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kuitwa interview TAESA?

    Hivi ikiwa Bado huna cheti..je transcript itafaa?
Back
Top Bottom