Issue hapo haikuwa pesa ninadhani ni heshima tu kwani kama aliweza kujua kiasi cha pesa alichoficha na mahali alipoficha asingeshindwa kuzichukua na hata aliporudi mara ya pili kutoa onyo kwa majirani ilikuwa tu kutaka kuhalalisha alichokitaka ambacho ni kumchukua huyo dereva kama mtumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.