Usikate tamaa mkuu,, Mungu ana kusudio lake ktk kila jambo. Kumbuka kwamba mlango mmoja ukifungwa mwengine hufunguliwa isipokuwa watu hupenda kung'ang'ania ktk mlango 1 uliofungwa ndio maana hawaoni mlango mwengine wa kutokea... Kumbuka piya ktk kila maumivu unayopitia kuna funzo na ktk kila...
Dah! Ila mtoa mada nahisi anatukumbusha namna gani mfumo wa elimu nchini ubadilike, elimu hii tulio chukuwa kutoka kwa MKOLONI lengo lake lilikuwa ni kumfanya Mtanganyika apate ajira na sio kingine.Haikushughulika na kipaji cha aina yoyote hivyo basi tukirejea kwa mtoa mada kuhusu shule za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.