Recent content by Nassor Mussa

  1. N

    Nasafirisha maharage ya Mbeya kuleta Morogoro na Dar. Kama unahitaji nicheki

    Habali ndugu zangu, Nafanya biashara ya maharage ya mbeya kuleta Moro na Dar. Kwa wateja wa madukani kwa bei ya makubaliano na aina ya maharage husika. Kama unaitaji maharage na upo maeneo hayo nicheki nikuletee mzigo mpaka dukani. 0629117470
  2. N

    Nahitaji Epson Printer L805

    mmi nina hp kama unaitaji
  3. N

    Naomba kujuzwa chimbo la maharage bei ya jumla

    Kwa wale wenye uzoefu na biashara ya maharage napenda kuuliza eti debe moja ya maharage inakadiliwa kuwa na kilo ngapi? Au gunia lenye kilo 100 la maharage linakuwa na debe ngapi? Msaada please
  4. N

    SoC04 Nilalapo nakuota wewe

    (Nchi yangu Tanzania, nilalapo nakuota wwe) .ni moja ya mstari katika nyimbo ya kizalendo ya taifa la tanzania ukibeba kiu na ndoto za wananchi wake wenye kiu ya maendelo kwa taifa hili. Tanzania inchi yangu inayo endeshwa kwa mfumo wa kidemokrasia pasina shaka na mfumo wa uongozi wa kiselikali...
Back
Top Bottom