Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Hamphrey Polepole na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Mh John L. Kayombo leo wamekutana na kuzungumza na watumishi wa idara mbalimbali kujadili changamoto na hatua za maendeleo katika Manispaa hiyo .
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa kikao hicho viongozi...
Na:Nassir Bakari
Mijadala mingi mitandaoni na sehemu mbalimbali kwenye mikusanyiko ya watu kwa siku za hivi karibuni ni kuhusu uchumi wa Tanzania na wanasiasa wengi kwa makusudi kabisa tena bila aibu wanawahadaa wananchi kwa malengo yao binafsi ikiwemo kisisasa, wanasema uchumi wa nchi umeshuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.