Dunia inabadilika mwaka 2003 China ilikuwa Nchi ya 7 kwa uchumi Imara lkn leo ni Nchi ya pili baada ya America.kwa hivyo watu waache kukariri eti Uingereza na America hawapigiki'wanapigika sana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muogopeni Allah Msitowe Majibu ya kifedhuri kiasi hicho kwa wazazi.kwa sheria ya Dini tukufu ya Kiislam Lazima Hamisi awajibike kwa wazazi wake atake asitake ni lazima awatunze.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.