Baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu ya hawa viumbe wanawake nimegundua wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao, yaani wale ambao wanawapenda na yote haya yanatokea kwasababu kadhaa;
Namna sisi wanaume tunavyotafsiri ndoa sivyo wao wanavyotafsiri ndoa. Mwanaume...
Nipo katika hali ambayo inanifanya niwe najiuliza maswali mengi, na mwisho wa siku najikuta najijibu mwenyewe. Wakati mwingine nahisi labda ni wivu au ni kutokujiamini tu.
Kabla sijamuoa mke wangu, alikuwa rafiki yangu wa Facebook. Tulikuwa karibu sana kiasi kwamba alikuwa ananieleza hata mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.