Mimi sidhani kama kuna haja ya kungangania jina la Tanganyika kinachohitajika ni Maendeleo ya Nchi Jina halina Maana yoyote hapa tujadili Maendeleo ya Nchi na si jina la Tanganyika hata Nyerere nakumbuka alikwisha sema katika utafiti wake wote jina la Tanganyika hajui chanzo chake ni nini
Wafuasi wa Chadema wa jamii forum mbona huwa mnamatusi sana badala ya kuchangia hoja mnakuwa kama Watoto wa mitaani bwana jibuni hoja kwa hoja siyo matusi sisi Watu wastarabu huwa hatuwaelewi
Tatizo Waislam wakiongea Mambo ya siasa Msikitini inaonekana ni Udini mbona Viongozi wengi tunawaona wakifanya kampeni Makanisani Hamsemi Udini. Udini kwa Waislam tuuu? Kampni za Dr slaa Kanisani Mbona Hamsemiiiiii? Hamuoni Mfumo wa Chama Kuwa Na Wachungaji Udini wa waziwazi Huo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.