Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudumia wateja ukifika muda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao?
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudia wateja ukifika mda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao
Kwa ngazi ya diploma labda usome diploma in public adminstration and management ambayo kozi ya Ir utasoma mwaka wa pili wa diploma na baada ya hapo degree ndo ukasome hyo Ir yan international relation and diplomacy yenyewe kama yenyewe ila kwa sasa hakjna Ir kwa diploma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.