Recent content by Nasblue

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Jaman mwenzenu kauliza swali badaya ya kumjibu mmeanza kushambulia kibabu cha wa2. Umri cyo tatzo dadangu unajua anachokupa ndo mana ukampenda na una nia ya kuolewa nae. mwenzio mchumba wng kanizdi miaka 25 sa cjui nasaidiwaje.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    mh pesa ni k2 kimoja mapenzi ni kitu kingne bt tatzo linakuja kwamba wanaume wanaamini bla pesa hawezi kumpata mwanamke aliyempenda/mtamani. so ikaonekana "NO MONEY NO HONEY" ihalalishwe
Back
Top Bottom